Kwa nini Kiswahili kinafaa zaidi kuwa lugha ya mawasiliano mapana barani Afrika? – Taifa Leo
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan. Picha| Maktaba NILIWAHI kudai kwamba Afrika haijakaa tutwe kuhusiana na masuala ya lugha, utamaduni, maendeleo na ukoloni mamboleo. Wanaharakati […]