IPOA yataka polisi wachukuliwe hatua za kinidhamu kuhusu shambulizi dhidi ya Gachagua Nyandarua – Taifa Leo
Aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua akitazama fujo zilizozuka katika hafla ya maombi aliyohudhuria Nyandarua. Picha|Waikwa Maina MAMLAKA Huru ya Kuchunguza Utendakazi wa Polisi-IPOA imependekeza hatua […]