
Niko likizo ya uzazi, asema Gavana Kihika baada ya kutoonekana hadharani – Taifa Leo
Gavana wa Nakuru Susan Kihika. Picha|Dennis Onsongo BAADA ya kutoonekana hadharani kwa muda wa miezi miwili, Gavana wa Nakuru Susan Kihika amefichua kuwa yuko likizo […]