Kipchoge, 40, tayari kurejea kwa kishindo London Marathon mwezi Aprili – Taifa Leo
Eliud Kipchoge asherehekea kushinda Berlin Marathon jijini Berlin, Ujerumani, mnamo Septemba 25, 2022. Atarejea ulingoni katika marathon za jijini London, Uingereza, mwezi Aprili. PICHA | […]