![](https://informationcentre.co.ke/wp-content/uploads/2024/12/maandamano-embu-326x245.jpg)
Maandamano ya Gen Z
![](https://informationcentre.co.ke/wp-content/uploads/2024/12/maandamano-embu-326x245.jpg)
![](https://informationcentre.co.ke/wp-content/uploads/2024/12/facing-mt-kenya-1320x792-326x245.jpg)
Mamia ya wakazi wafanya maombi ya toba Mlima Kenya kulaani utekaji nyara – Taifa Leo
Waumini kutoka madhehebu mbali mbali washiriki sala wakiangalia Mlima Kenya ambapo walikemea mauaji na utekaji nyara nchini. Picha|George Munene MAMIA ya waumini kutoka maeneo mbalimbali […]
![](https://informationcentre.co.ke/wp-content/uploads/2024/12/gen-z-326x245.jpg)
Kijana Gen Z aliyepigwa risasi akiwa amevalia sare za shule azikwa simanzi ikigubika kijiji Karatina – Taifa Leo
Kijana Kennedy Maina aliyeishi na jeraha la risasi tangu wakati wa maandamano ya Gen Z aaga dunia na kuzikwa Desemba 24, 2024. Picha|Stephen Munyiri KIJANA […]
![](https://informationcentre.co.ke/wp-content/uploads/2024/12/babu-owino-326x245.jpg)
Babu Owino asema haogopi kufukuzwa ODM kwa kukataa kuunga serikali – Taifa Leo
Mbunge wa Embakasi Mashariki Babu Owino. Picha|Hisani MBUNGE wa Embakasi Mashariki Babu Owino amesema kuwa haogopi kufukuzwa ODM baada ya kufunguka na kusema amekuwa akitishiwa […]
![](https://informationcentre.co.ke/wp-content/uploads/2024/12/ndungu-karanja-326x245.jpg)
Kuondoa Karanja, Ndung’u uwaziri ishara Ruto anataka wanasiasa serikalini kuelekea 2027 – Taifa Leo
Waliokuwa mawaziri Margaret Ndung’u na Andrew Karanja. Picha|Maktaba SIKU za wataalamu waliosalia katika baraza la mawaziri la mawaziri zinaonekana kuwa finyu baada ya Rais William […]
![](https://informationcentre.co.ke/wp-content/uploads/2024/12/Dn-Opinion-Poll-2308-1320x792-326x245.jpg)
Shirika laanika ‘uozo wa uongo na hongo’ wa utawala wa Rais Ruto – Taifa Leo
Mkurugenzi Mkuu wa Africog Gladwell Otieno katika picha hii ya awali. Ripoti ya Africog imeelezea visa hongo, uongo na mapendeleo inavyosema vimesheheni katika utawala wa […]
![](https://informationcentre.co.ke/wp-content/uploads/2024/12/DNDEMOS2306h-1-1320x792-326x245.jpg)
Ni kuogopa ‘salamu’? Wabunge wapinga mswada unaotaka kuharamisha maandamano – Taifa Leo
Vijana, wengi wao wakiwa wa kizazi cha Gen Z wakishiriki maandamano Juni. Picha|Maktaba WABUNGE wamepinga mswada unaolenga kudhibiti maandamano wakisema unaingilia haki ya kikatiba ya […]
![No Image](https://informationcentre.co.ke/wp-content/themes/mh-magazine-lite/images/placeholder-medium.png)
Kenya yaambukiza Uganda na Tanzania ugonjwa mbaya wa utekaji nyara – Taifa Leo
SASA ni wazi kwamba Kenya imeziambukiza majirani zake Tanzania na Uganda “ugonjwa” wa utekaji nyara wa watu wanaokisiwa kuwa wakosoaji wa serikali. Hii ni kufuatia […]
![](https://informationcentre.co.ke/wp-content/uploads/2024/12/DN-RAILA-0112-a1-1320x792-326x245.jpg)
Hatuachi Raila hata mkinuna, viongozi wa Mulembe waambia Gen Z – Taifa Leo
Kinara wa ODM, Raila Odinga (kati) ashiriki sherehe ya shukrani ya Seneta wa Vihiga, Godfrey Osotsi, shuleni Chavakali Boys, Vihiga, Desemba 2, 2024. Picha|Isaac Wale […]