![No Image](https://informationcentre.co.ke/wp-content/themes/mh-magazine-lite/images/placeholder-medium.png)
Wanajeshi 600 wa Somalia walivyotorokea Kenya walipozidiwa vitani Jubbaland – Taifa Leo
KENYA inahifadhi wanajeshi 600 wa Somalia waliovuka mpaka eneo la Ishiakani kaunti ya Lamu, baada ya kuzidiwa nguvu na wanajeshi wa Jubbaland. Wanajeshi wa Jeshi […]