Kufurusha mbunge mzembe sasa kuwa rahisi – Taifa Leo
Kikao cha bunge. Picha|Maktaba UTARATIBU wa kumwondoa ofisini mbunge asiyefanya kazi yake ipasavyo sasa umerahisishwa. Kwenye sheria inayopendekezwa, bunge sasa limo mbioni kufanikisha hukumu ya […]