Mazishi yaleta nuksi baada ya ukuta kuanguka na kuua waombolezaji watano Mombasa – Taifa Leo
Majonzi yagubika wakazi wa Miritini, Mombasa, baada ya ukuta kuanguka na kuua watu watano akiwemo mwanamke mjamzito. Picha|Kevin Odit WATU watano, miongoni mwao mwanamke mjamzito […]