Kuondoa masharti ya vitambulisho mpakani hatari kwa usalama wa taifa – Taifa Leo
TANGAZO la Rais William Ruto kwamba watu kutoka jamii zinazoishi katika kaunti za mipakani hawatawekewa masharti makali wakiomba vitambulisho vya kitaifa linaweza kuathiri pakubwa usalama […]