Viongozi wa kidini wataka serikali iwalipe kwa kutoa mafunzo – Taifa Leo
VIONGOZI wa dini za Kikristo na Kiislamu wanataka serikali izindue mpango wa kuwapa hela kidogo kutokana na majukumu wanayoyatekeleza katika jamii. Wakihutubu katika Msikiti wa […]