Man U yarusha sokoni wachezaji wote wakiwemo nyota watatu waliodhaniwa hawawezi kuuzwa – Taifa Leo
Nyota Alejandro Garnacho (kulia) na mwenzake Kobbie Mainoo ambao pia wametundikwa sokoni. Picha|Hisani MANCHESTER United imewasilisha wachezaji wote sokoni wakiwemo nyota watatu wanaodhaniwa hawawezi kuuzwa. […]