Mimi ni mkonda sana, hata mabinti hawanitamani – Taifa Leo
Shangazi, TANGU utotoni nimekuwa mvulana mwembamba mwenye kifua kidogo. Ninahisi hiyo ni mojawapo ya sababu ambazo zimenifanya kutokuwa kivutio cha mabinti. Sasa nataka kifua kipana, […]
Shangazi, TANGU utotoni nimekuwa mvulana mwembamba mwenye kifua kidogo. Ninahisi hiyo ni mojawapo ya sababu ambazo zimenifanya kutokuwa kivutio cha mabinti. Sasa nataka kifua kipana, […]
Shikamoo shangazi. Nimekuwa na mpenzi kwa mwaka mmoja sasa. Kwa muda wote huo hatujashiriki mapenzi na sasa analalamika akidai mapenzi bila ngono si mapenzi. Je, […]
Kwako shangazi. Mpenzi wangu amekuwa akitaka kuonja asali lakini nilitaka tungoje hadi tujuane vizuri. Juzi alinishawishi hadi nikakubali. Tangu siku hiyo hisia zangu kwake zimetoweka. […]
Mke wangu ana uhusiano wa karibu sana na pasta wake ambao nahisi umekiuka mipaka. Pasta amekuwa akija nyumbani na kukaa hadi usiku. Hata akishaondoka bado […]
Mwanamke mjamzito akilia. Picha|Maktaba MILIMANI, KITALE POLO aliyekuwa akifanya kazi hapa alitoroka baada ya binti ya mdosi wake kudai alikuwa na ujauzito wake. Duru zadai […]
KIPUSA wa hapa alimchemkia dadake kwa hasira akimlaumu kwa wivu alipopata mpenzi mwenye donge. Kidosho huyo aliingizwa boksi na mwana wa bwanyenye mmoja eneo la […]
Mwanamume na mwanamke walio na ukaribu. Picha|Maktaba Mke wangu ana uhusiano wa karibu sana na pasta wake ambao nahisi umekiuka mipaka. Pasta amekuwa akija nyumbani […]
Mke wangu hana adabu za mezani wakati wa kula. Huongeza akitafuna chakula, tena hukitafuna kwa sauti. Nimejaribu kumzungumzia lakini haelewi. Nifanyeje? Itabidi umwambie ukweli kuhusu […]
Copyright © 2025 | WordPress Theme by MH Themes