Mhariri kutoka Tanzania Maria Sarungi aachiliwa huru baada ya kutekwa Kenya – Taifa Leo
Mhariri Mtanzania aliyetekwa Nairobi Maria Sarungi ambaye sasa ameachiliwa. Picha|Hisani MHARIRI na mtetezi wa haki za binadamu kutoka Tanzania Maria Sarungi Tsehai aliyetekwa nyara Jumapili […]