
Farah atimuliwa na Wiper kwa matamshi yake hatari – Taifa Leo
Mbunge wa Daadab Farah Maalim. PICHA|MAKTABA CHAMA cha Wiper, kimemtimua Mbunge wa Daadab Farah Maalim kufuatia matamshi aliyohusishwa nayo ya kutusi vijana ambao wamekuwa wakiendeleza […]