![](https://informationcentre.co.ke/wp-content/uploads/2024/12/Daniel-Muthiani-326x245.jpg)
Mazishi ya mwanablogu aliyefariki 2023 yaahirishwa tena – Taifa Leo
Mwanablogu Daniel Muthiani maarufu kama Sniper aliyeuawa. PICHA|HISANI MAZISHI ya mwanablogu wa Meru Daniel Muthiani almaarufu Sniper, aliyefariki mwaka mmoja uliopita, yameahirishwa kwa muda usiojulikana […]