![](https://informationcentre.co.ke/wp-content/uploads/2025/01/omari-scaled-326x245.jpg)
Kazi ipo kwa korti maafisa wakuu wa usalama serikalini wakiendeleza ukaidi – Taifa Leo
Milango ya gereza inasubiri kumpokea Inspekta Mkuu wa Polisi (IG) Douglas Kanja akikosa kufika kortini kama alivyoamriwa na mahakama. Mnamo Desemba 31, 2024 Bw Kanja […]