Kindiki achemkia Gachagua, amuonya dhidi ya kuchochea mlima – Taifa Leo
Waziri wa Usalama wa Ndani Kithure Kindiki na Naibu Rais Rigathi Gachagua. PICHA | MAKTABA NAIBU Rais Kithure Kindiki amemuonya mtangulizi wake Rigathi Gachagua kwa […]
Waziri wa Usalama wa Ndani Kithure Kindiki na Naibu Rais Rigathi Gachagua. PICHA | MAKTABA NAIBU Rais Kithure Kindiki amemuonya mtangulizi wake Rigathi Gachagua kwa […]
Rais William Ruto (kulia) akiwa na Raila Odinga Homa Bay kwa hafla ya michezo. Picha|Hisani RAIS William Ruto ameanza kampeni ya kunyakua maeneo ya Magharibi […]
MIPASUKO mipya imejitokeza katika Mlima Kenya huku viongozi wakikosoana kuhusu mustakabali wa eneo hilo kisiasa baada ya kuondolewa kwa aliyekuwa naibu rais Rigathi Gachagua. Huku […]
Aliyekuwa naibu Rais Rigathi Gachagua akihutubia wakazi wa Meru Jumamosi akisisitiza umoja wa Mlima Kenya. Picha|DPCS ALIYEKUWA Naibu Rais Rigathi Gachagua jana alimsuta Rais William […]
Waumini kutoka madhehebu mbali mbali washiriki sala wakiangalia Mlima Kenya ambapo walikemea mauaji na utekaji nyara nchini. Picha|George Munene WAKAZI wa Mlima Kenya Ijumaa, Desemba […]
Maafisa wakimwaga pombe haramu awali. PICHA | MAKTABA JUHUDI za Serikali kuimarisha msako dhidi ya uuzaji na matumizi ya pombe haramu mapema mwaka huu zimegonga […]
Aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua wakati wa mahojiano ya kipekee na NTV, Jumapili, Desemba 1, 2024. Picha|Evans Habil NAIBU Rais aliyeondolewa mamlakani Rigathi Gachagua ameamua kuepuka […]
Naibu Rais Kithure Kindiki. Picha|Maktaba NAIBU wa Rais, Prof Kithure Kindiki anaonekana kuchukua hatua za kimakusudi kuepuka makosa ya mtangulizi wake Rigathi Gachagua kwa kuhepa […]
Rais William Ruto akiwa ziarani Kisumu. Picha|PCS ZIARA za hivi majuzi za Rais William Ruto katika ngome za chama cha Orange Democratic Movement (ODM) cha […]
Vigogo wa ODM wanaotetea serikali kwa kinywa kipana kuanzia kulia, Hassan Joho, Junet Mohamed na Opiyo Wandayi. Picha|Hisani VIONGOZI wa ODM ambao wamekuwa wakijitapa serikalini […]
Aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua. Picha|Maktaba ILIKUWA ni kamari ngumu kwa aliyekuwa naibu Rais Rigathi Gachagua alipokataa presha za kujiuzulu wakati wa hoja ya kumtimua ofisini […]
Copyright © 2025 | WordPress Theme by MH Themes