DPP alivyozimwa kumshtaki wakili mshukiwa wa ulaghai wa ardhi – Taifa Leo
Nadra Modhihiri Mohamed akiwa kortini. Picha|Richard Munguti WAKILI anayedaiwa kuilaghai familia ya mfanyabiashara aliyefariki shamba mtaani Eastleigh jijini Nairobi, amepata afueni. Hii ni baada ya […]