
Jeshi la Sudan lakomboa mji wa Obeid huku waasi wa RSF wakiunda serikali Nairobi – Taifa Leo
Wanajeshi wa Sudan wakisherehekea kukomboa kituo cha kusafisha mafuta ambacho kilikuwa kimedhibitiwa na waasi wa RSF mwishoni mwa Januari. Jeshi hilo Jumapili lilitangaza kukomboa mji […]