Atishia kuvunja ndoa yake mume alipomuagiza ahame chama chenye vidume mafisi – Taifa Leo
MWANADADA wa hapa Mtopanga jijini Mombasa alitishia kuvunja ndoa yake baada ya mumewe kumtaka aache kutangamana na wanaume. Tofauti zao zilianza buda alipogundua kuwa mkewe […]