
Sinywi pombe nikiwa kazini, mwalimu wa JSS aliyeshambuliwa Nyamira asema – Taifa Leo
Vincent Onyancha, Mwalimu wa shule moja ya Sekondari Msingi (JSS) iliyoko Nyamira aliyelazwa hospitalini baada ya kudaiwa kupigwa na mwalimu wake mkuu kwa kufika kazini […]