
Mtihani kwa ukuruba wa Ruto, Raila kufuatia pigo AUC na nyimbo za ‘Ruto Must Go’ Kondele – Taifa Leo
ITABIDI Rais William Ruto afikirie tena mikakati yake ya kupata wafuasi kutoka eneo la Luo Nyanza. Hii ni baada ya Kiongozi wa Upinzani Raila Odinga […]