Serikali kuzindua lebo ya kidijitali kutambua mifugo Kenya – Taifa Leo
Ng’ombe mwenye lebo. PICHA|HISANI SERIKALI inapanga kuzindua lebo ya kidijitali kutambua idadi ya mifugo Kenya, na jinsi inavyofugwa. Katibu katika Idara ya Ustawishaji na Maendeleo ya […]