![](https://informationcentre.co.ke/wp-content/uploads/2025/02/matatu-nganya-326x245.jpg)
Jaji aamuru NTSA iachilie matatu zikiwemo za mwanawe Rais Ruto – Taifa Leo
Matatu za makeke zinazofahamika mijini kama ‘nganya’. Picha|Maktaba MAHAKAMA Kuu imeiamuru Mamlaka ya Kitaifa ya Uchukuzi Barabarani (NTSA) iachilie matatu zote ilizokamata wakati wa msako […]