Nilisema nitapunguza ushuru ila sasa naona haitawezekana hivi karibuni – Taifa Leo
Waziri wa Fedha John Mbadi ambaye anasema KRA itahitaji kukusanya pesa zinazotakikana kwa miezi sita mfululizo kabla iwezekane kupunguza ushuru. Picha|Maktaba WAKENYA hawatapata afueni ya […]