Mikakati ya Karua kuvutia Gen Z baada ya kubadili jina la Narc-Kenya – Taifa Leo
Kiongozi wa chama cha PLP Martha Karua. Picha|Maktaba CHAMA cha Narc-Kenya sasa kitajulikana kama People’s Liberation Party (PLP) baada ya kupokea cheti cha kubadili jina […]