Sababu za Seneta Onyonka kukataa mlo wa Ruto ikulu – Taifa Leo
SENETA wa Kaunti ya Kisii Richard Onyonka amekataa mwaliko wa kushiriki chakula cha jioni cha mkesha wa Mwaka Mpya kilichoandaliwa na Ikulu. Katika taarifa kwa […]
SENETA wa Kaunti ya Kisii Richard Onyonka amekataa mwaliko wa kushiriki chakula cha jioni cha mkesha wa Mwaka Mpya kilichoandaliwa na Ikulu. Katika taarifa kwa […]
TANGU kuondolewa afisini, aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua amekuwa akiandamwa na mikosi, mikutano yake ikigubikwa na ghasia huku naye akilaumu serikali kwa kumakinika kumkata miguu […]
Waumini kutoka madhehebu mbali mbali washiriki sala wakiangalia Mlima Kenya ambapo walikemea mauaji na utekaji nyara nchini. Picha|George Munene MAMIA ya waumini kutoka maeneo mbalimbali […]
Rais William Ruto akizungumza kwa simu. Picha|Maktaba HATUA ya Rais William Ruto kuwateua baadhi ya wandani wa Rais mstaafu Uhuru Kenyatta kwa nyadhifa kuu katika […]
Waliokuwa mawaziri Margaret Ndung’u na Andrew Karanja. Picha|Maktaba SIKU za wataalamu waliosalia katika baraza la mawaziri la mawaziri zinaonekana kuwa finyu baada ya Rais William […]
Rais William Ruto wakati wa maadhimisho ya Jamhuri 2024, Uhuru Gardens, Nairobi. PICHA|HISANI RAIS William Ruto ameagiza Bodi ya Hakimiliki ya Kenya kubuni mfumo wa […]
Mkurugenzi Mkuu wa Africog Gladwell Otieno katika picha hii ya awali. Ripoti ya Africog imeelezea visa hongo, uongo na mapendeleo inavyosema vimesheheni katika utawala wa […]
Copyright © 2025 | WordPress Theme by MH Themes