Talaka chungu ya kocha Firat na Kenya serikali ikimlaumu kukosa kufikisha Harambee AFCON – Taifa Leo
Kocha wa Harambee Stars Engin Firat akisimamia mazoezi ya wachezaji awali. Picha|Sila Kiplagat Jana, Desemba 11, 2024, Firat alitangaza kujiuzulu akilalamikia kutolipwa malimbikizi ya mshahara […]