![](https://informationcentre.co.ke/wp-content/uploads/2025/02/Uhuru-Gachagua-326x245.jpg)
Siasa za kisasi zaibuka mlimani – Taifa Leo
Rais mstaafu Uhuru Kenyatta na aliyekuwa Naibu Rais, Rigathi Gachagua. PICHA|HISANI HUKU mabadiliko ya kisiasa yakiongezeka kuelekea uchaguzi wa 2027, Mlima Kenya unageuka kuwa uwanja […]
Rais mstaafu Uhuru Kenyatta na aliyekuwa Naibu Rais, Rigathi Gachagua. PICHA|HISANI HUKU mabadiliko ya kisiasa yakiongezeka kuelekea uchaguzi wa 2027, Mlima Kenya unageuka kuwa uwanja […]
TANGAZO la Rais William Ruto kwamba watu kutoka jamii zinazoishi katika kaunti za mipakani hawatawekewa masharti makali wakiomba vitambulisho vya kitaifa linaweza kuathiri pakubwa usalama […]
Naibu Rais Kithure Kindiki akizungumza katika makazi yake ya Karen, alipofanya mkutano na wajumbe kutoka Tharaka Nithi. Picha|DPCS NAIBU Rais Profesa Kithure Kindiki sasa ndiye […]
Lango kuu la kuingia katika kampuni ya sukari ya Mumias mjini Kakamega. PICHA | ISAAC WALE MIPANGO inayoendelea ya kufufua kiwanda cha kutengeneza sukari cha […]
Naibu Rais Kithure Kindiki akizungumza katika makazi yake ya Karen, alipofanya mkutano na wajumbe kutoka Tharaka Nithi, Jumatano. Picha|DPCS HUENDA Naibu wa Rais Prof Kithure […]
Naibu wa Rais wa zamani Rigathi Gachagua. Picha|Hisani JOMO Kenyatta, rais mwanzilishi wa Kenya, alikuwa akipenda kubarizi nyumbani kwake Ichaweri na mrithi wake Daniel Moi […]
Naibu wa Rais wa zamani Rigathi Gachagua (kushoto) na Gavana wa Trans Nzoia George Natembeya. Picha|Hisani USHIRIKIANO wa kisiasa kati ya aliyekuwa Naibu wa Rais […]
Waziri wa Leba Alfred Mutua. Picha|Maktaba WAZIRI wa Leba Dkt Alfred Mutua amewataka viongozi na maafisa wa serikali kutoka eneo la Ukambani kumheshimu kinara wa […]
Rais Willliam Ruto. PICHA | AFP HATUA ya Rais William Ruto ya kukumbatia lakabu yoyote kwa kejeli na kupuuza hasira za raia imetajwa kuwa hatari […]
Rais William Ruto (kulia) akiwa na Raila Odinga Homa Bay kwa hafla ya michezo. Picha|Hisani RAIS William Ruto ameanza kampeni ya kunyakua maeneo ya Magharibi […]
Aliyekuwa kiongozi wa Mungiki Bw Maina Njenga ahutubia wanahabari nyumbani kwake Ongata Rongai katika Kaunti ya Kajiado mnamo Januari 1, 2024. PICHA | Maktaba MWISHONI […]
Vijana wakiandamana Jijini Nairobi, Alhamisi, Juni 20, 2024. PICHA|BONIFACE BOGITA KUNA uwezekano mkubwa kwamba iwapo joto la kisiasa lilishuhudiwa mwaka jana litaendelea mwaka huu, sekta […]
Kinara wa ODM Raila Odinga. Picha|Maktaba KIONGOZI wa ODM, Raila Odinga, mnamo Ijumaa Desemba 20 aliunga Rais William Ruto huku akilaumu wakosoaji wa utawala wa […]
Kuanzia kushoto ni William Kabogo, Mutahi Kagwe na Lee Kinyanjui. Picha|Maktaba RAIS William Ruto ameteua Mutahi Kagwe kama Waziri wa Kilimo, Lee Kinyanjui kama Waziri […]
Jumba la Mamlaka ya Afya ya Jamii jijini Nairobi. Picha|Hisani BAADHI ya wasimamizi wa mashirika ya umma eneo la Nyanza sasa wanalaumu wanasiasa kwa kuzidisha […]
RAIS William Ruto ameshikilia kuwa mpango wa serikali kuimarisha uchumi unazaa matunda. Dkt Ruto amekashifu wanaompinga akidai wana nia ya kuona nchi inarudi nyuma ili […]
MBUNGE wa Kibwezi Magharibi Mwengi Mutuse, kwa mara ya kwanza amefichua kuwa ni Rais William Ruto aliyempa kibarua cha kuwasilisha hoja ya kumtimua aliyekuwa Naibu […]
RAIS William Ruto jana aliwahakikishia Wakenya kuwa ufanisi mkubwa kwenye nyanja mbalimbali za kiuchumi unakuja akisema ametumia miaka miwili ya utawala wake kuweka mikakati na […]
Rais William Ruto akizungumza katika hafla iliyopita. UKIACHWA, achika. Ukichengwa, chengeka. Na ukishindwa, shindika. Kimsingi, kubali yaishe. Kwani Zakayo hajui ukweli huu? Angali anateta kuhusu […]
Rais William Ruto akitembelea vibanda vya wafanyabiashara katika jumba la KICC wakati wa kuadhimisha miaka miwili ya Hustler Fund. Picha|PCS MIAKA miwili baada ya mradi […]
Copyright © 2025 | WordPress Theme by MH Themes