Refa aliyeonea Arsenal aaibika kadi nyekundu aliyomzaba Myles Lewis Skelly ikifutwa – Taifa Leo
Wanasoka wa Arsenal, Gabriel Gabriel Magalhaes, William Saliba, Leandro Trossard na Gabriel Martinelli wamlalamikia refa Michael Oliver baada ya kumwonyesha kinda Myles Lewis-Skelly kadi nyekundu […]