Aliyeendesha gari kwenye umati sokoni na kuua watano kushtakiwa kwa mauaji – Taifa Leo
MWANAMUME anayeshukiwa kuendesha gari katikati ya umati katika soko la Krismasi nchini Ujerumani, shambulio lililoua watu watano na kujeruhi wengine wengi anakabiliwa na mashtaka mengi […]