![](https://informationcentre.co.ke/wp-content/uploads/2025/01/DNRIGATHI1110-1320x792-326x245.jpg)
Katika lile suala la kofi, nahisi ingekuwa Riggy G, mpiga na mpigwa wote wangeokotwa chini! – Taifa Leo
Aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua. Picha|Maktaba HIVI umewahi kujipiga kofi kimakosa? Ulihisije? Kinahadithiwa kisa cha mvuvi aliyevalia kaptula, akaketi kando ya ziwa huku kashikilia ndoano […]