
Wakenya wala nyama kwa wingi licha ya bei kupanda, ripoti yasema – Taifa Leo
Nyama ikikatwa bucha. Picha|Hisani THAMANI ya nyama ambayo Wakenya hula ilipanda kwa kiwango kikubwa hadi Sh304.6 bilioni katika mwaka wa 2023, ishara kwamba wangali wanapenda […]