![](https://informationcentre.co.ke/wp-content/uploads/2025/02/Risper-Ngendo-326x245.jpg)
Aliyesafiri kwa miadi ya Valentino mjini apatikana ameuawa kikatili – Taifa Leo
Mfanyabiashara Risper Ng’endo, 26, kutoka kijiji cha Kirima, Kaunti ya Kirinyaga. Alipatikana ameuliwa kikatili katika Kaunti ya Kajiado, umbali wa mamia ya kilomita kutoka nyumbani […]