Mzee alilia haki baada ya Sh1.1 milioni kuporwa na wakora wa kubadilisha laini za simu โ Taifa Leo
Laini za simu kutoka kwa kampuni kadhaa. Mzee mmoja eneo la Teso Kaskazini ameporwa zaidi ya Sh1.1 milioni na wakora wa kubadilisha laini za simu. […]