![No Image](https://informationcentre.co.ke/wp-content/themes/mh-magazine-lite/images/placeholder-medium.png)
Wanaume wawili wananitaka na nimeshindwa kuchagua, nishauri – Taifa Leo
KUNA wanaume wawili wananipigania kila mmoja akidai mimi ni mpenzi wake. Ukweli ni kuwa ni marafiki tu na sijaamua nani kati yao atakuwa mpenzi wangu. […]
KUNA wanaume wawili wananipigania kila mmoja akidai mimi ni mpenzi wake. Ukweli ni kuwa ni marafiki tu na sijaamua nani kati yao atakuwa mpenzi wangu. […]
Shangazi, nimeoa mwanamke mchanga na nimegundua mahitaji yake chumbani yanazidi uwezo wangu. Sielewi ni kwa nini sababu sina matatizo yoyote ya kiafya na sitaki kutumia […]
Niko na miaka 30. Natamani kuolewa ila sitaki wanaume wa mjini kwani tabia zao ni za kutisha. Nisaidie kusaka mume kutoka mashambani. Itakuwa makosa kwako […]
MKE wangu ana kiu ya mahaba ajabu. Katika kipindi cha hivi majuzi nimekuwa nikishindwa kumridhisha chumbani na nahofia kwamba atapata wa pembeni. Kuzuia hili, namtafuta […]
Unhappy couple not speaking to each other on bed at home in the bedroom. Fotosearch. Nimeshindwa kusubiri ndoa nikaamua kumpakulia asali mpenzi wangu. Lakini tumejaribu […]
Wanandoa wanaofarakana. Picha|Maktaba HUJAMBO shangazi? Ndoa yangu imeingia mkosi. Mke wangu amenizalia mtoto wa nje. Nahofia atafanya hivyo tena kwa sababu tumekuwa tukikosana kila mara […]
Mjakazi akifanya usafi nyumbani. Picha|Maktaba NINA mke na nampenda sana, lakini nimekuwa nikimmezea mate mjakazi wetu. Kuna tatizo la kutaka kumuonja mradi mke wangu asijue? […]
Mpenzi hajali mahitaji yangu ingawa ana pesa nyingi. Ajabu ni kwamba tukiwa maskani za starehe huwa anatumia pesa nyingi, sio kwangu tu bali kwa marafiki […]
Wapenzi watofautiana. Picha|Maktaba NILISHIRIKI burudani na mume wangu kwa mara ya kwanza juzi baada ya kufunga ndoa. Nimegundua hali ambayo sikutarajia; kifaa chake ni kidogo […]
Shangazi, TANGU utotoni nimekuwa mvulana mwembamba mwenye kifua kidogo. Ninahisi hiyo ni mojawapo ya sababu ambazo zimenifanya kutokuwa kivutio cha mabinti. Sasa nataka kifua kipana, […]
Shikamoo shangazi. Nimekuwa na mpenzi kwa mwaka mmoja sasa. Kwa muda wote huo hatujashiriki mapenzi na sasa analalamika akidai mapenzi bila ngono si mapenzi. Je, […]
Kwako shangazi. Mpenzi wangu amekuwa akitaka kuonja asali lakini nilitaka tungoje hadi tujuane vizuri. Juzi alinishawishi hadi nikakubali. Tangu siku hiyo hisia zangu kwake zimetoweka. […]
Mwanamume na mwanamke walio na ukaribu. Picha|Maktaba Mke wangu ana uhusiano wa karibu sana na pasta wake ambao nahisi umekiuka mipaka. Pasta amekuwa akija nyumbani […]
Mke wangu hana adabu za mezani wakati wa kula. Huongeza akitafuna chakula, tena hukitafuna kwa sauti. Nimejaribu kumzungumzia lakini haelewi. Nifanyeje? Itabidi umwambie ukweli kuhusu […]
Copyright © 2025 | WordPress Theme by MH Themes