
Huenda IEBC ikakosa kuunda maeneobunge, wadi za ziada kabla ya 2027 – Taifa Leo
Aliyekuwa Mwenyekiti wa IEBC Wafula Chebukati akisoma matokeo ya uchaguzi. Kucheleweshwa kuundwa kwa IEBC mpya huenda kukasababisha maeneobunge na wadi mpya zikose kuundwa. Picha|Maktaba TUME […]