
Hivi hawa Manchester United ni wateja wa ‘relegation’? – Taifa Leo
Kiungo wa Manchester United Bruno Fernandes akisikitikia hali uwanjani huku fomu ya kikosi chake ikiendelea kudidimia. Picha|Reuters KOCHA Ruben Amorim, 40, amekiri kuwa kibarua chake […]