
Unaota mchana, Kindiki asuta Gachagua kwa kusema Ruto hatashinda muhula wa pili – Taifa Leo
Naibu Rais Kithure Kindiki akizungumza katika makazi yake ya Karen, alipofanya mkutano na wajumbe kutoka Tharaka Nithi, Jumatano. Picha|DPCS NAIBU Rais Profesa Kithure Kindiki amemwambia […]