![](https://informationcentre.co.ke/wp-content/uploads/2025/01/FISI-326x245.jpg)
Mkenya mwenzangu, kelele unazosikia kila kona ni za fisi wanaokutamani kama mpiga kura! – Taifa Leo
Fisi akishabikia mizoga. PICHA|HISANI UNATAMBUA kuwa mtu ni muongo anapokuapia Jalali eti hajawahi kumuua hata sisimizi. Sote tumewaua sisimizi aisee! Si kimakusudi, lakini ukweli ni […]