Hofu watoto wengi wakiacha shule kufanya kazi katika mashamba ya miraa Meru โ Taifa Leo
WASIWASI umetanda katika eneo la Igembe, Kaunti ya Meru baada ya kubainika kuwa watoto wapatao 30.000 wanafanya kazi katika mashamba ya miraa. Na sasa wazee […]