Katika lile suala la kofi, nahisi ingekuwa Riggy G, mpiga na mpigwa wote wangeokotwa chini! โ Taifa Leo
Aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua. Picha|Maktaba HIVI umewahi kujipiga kofi kimakosa? Ulihisije? Kinahadithiwa kisa cha mvuvi aliyevalia kaptula, akaketi kando ya ziwa huku kashikilia ndoano […]