
Viongozi wamekosa hekima ndiposa kejeli dhidi yao zimezidi mitandaoni – Taifa Leo
Rais William Ruto akizungumza majuzi. Picha|PCS HAKUNA haja ya kuwaamrisha vijana nchini wawe na maadili ilhali viongozi wenyewe ndio wakaidi wanaoonyesha kuwa hawana hekima kutokana […]