Amri ya Ruto ya kutoa vitambulisho bila kupiga msasa wakazi mpakani yazua maswali – Taifa Leo
Rais William Ruto akizungumza Wajir akiwa kwenye ziara ya kikazi ambapo alitangaza kuondolewa kwa hitaji la kupiga msasa wakazi wa mpakani wakati wa kutafuta vitambulisho. […]