![](https://informationcentre.co.ke/wp-content/uploads/2024/12/ghasia-hafla-ya-gachagua-nyandarua-326x245.jpg)
Gachagua alengwa kwa vitoa machozi hafla ya maombi Nyandarua – Taifa Leo
ALIYEKUWA Naibu Rais Rigathi Gachagua Jumamosi alilengwa kwa vitoza machozi wakati ambapo alihudhuria ibada ya makanisa mbalimbali katika bustani ya Shamata, Kaunti ya Nyandarua. Gesi […]