Usafiri kutatizika msimu wa sikukuu barabara 2 kuu zikifungwa Nairobi – Taifa Leo
MAMLAKA ya Kitaifa ya Barabara Kuu (KeNHA), imetangaza kuwa madereva wanaotumia barabara kuu ya Nairobi-Nakuru wanapaswa kutarajia kutatizika kuanzia katikati ya Desemba hadi Januari 2025. […]