Watu wawili wafariki, 50 waugua baada ya kula mlo kanisani – Taifa Leo
Mwanamume anayeugua hospitalini. Picha|Maktaba WATU wawili wamefariki kutokana na kisa kinachoshukiwa kuwa cha kula mlo uliokuwa na sumu huku wengine zaidi ya 50 wakilazwa hospitalini […]